Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mh.mwanamvua H.Mrindoko pichani amefurahishwa na kipaji alichoonyesha mtoto mdogo wa shule ya Msingi Migunga aitwaye Nasoro Jihango Nchimika kwa uwezo wake wa kubuni Ghorofa, Sambamba na hilo Mh.Geofrey Mizengo Pinda alimuahidi kijana huyo Kumgharamia masomo yake yote mpaka Chuo Kikuu.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa