Mkuu wa Mkoa wa katavi Mh.Mwanamvua H.Mrindoko pichani akiwa na viongozi waandamizi wa Mkoa wa katavi na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe(kushoto pichani) BI.Catherine Mashalla akipokea maandamano ya wananchi wakati wa Bonanza la uhamasishaji wa zoezi la Sensa lililofanyika katika Kiwanja cha mpira wa Miguu Majimoto - Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa