Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Pichani Mh. Silas Robert Ilumba akitoa taarifa ya utendaji kazi wa Halmashauri kwa Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh.Geofrey Pinda leo tarehe 31 Dec.2020. Aidha Mh.Ilumba alitoa changamoto kadhaa zinazoikabili halmashauri ambazo wataanza kukabiliana nazo zikiwemo Afya, Elimu, Maji na Miundombinu ya barabara na kumuomba Mh.Naibu waziri ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo la Kavuu Kuwaunga mkono ili kuweza kumaliza changamoto katika Maeneo hayo, ili wananchi waweze kufurahia matunda ya Serikali ya awamu ya Tano chini ya uongozi wa Mh.Rais Dr.John Pombe Magufuli.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa