Kiswahili
  • English
  • Kiswahili
    • Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Anuani za watumishi |
Mpimbwe District Council
Mpimbwe District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Raisi, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Muundo wa Halmashauri
  • Utawala
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Fedha na Biashara
      • Mipango na Takwimu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Maji
      • Ardhi na Mali asili
      • Kilimo , Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kazi na zima Moto
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mazingira na usafi
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • sheria
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • ufugaji wa nyuki
      • TEHAMA na Habari
      • Ugavi na ununuzi
    • Sehemu
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma ya Elimu
  • Machapisho
    • Muongozo
    • Hatua
    • Taarifa
    • Sheria
      • sheria ndogo
    • Fomu ya Maombi
      • Mkataba
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Albamu ya Picha
    • Video
    • Mpya
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Matukio
    • Hotuba
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyopangwa

Naibu waziri wa Sheria na Katiba (pichani) amefanyamazungumzo na Watumishi wote wa Halmashauri ya Mpimbwe.

Posted on: July 27th, 2021

Na Odetha salumu. Mpimbwe ,Katavi

Akizungumza leo katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Usevya Naibu waziri wa Sheria na Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mh.Geofrey Pinda amesema kikao hicho kina lenga kutambua changamoto zinazo wakabili watumishi ,kukumbushana majukumu ya utendaji  kazi pamoja na kubadilishana mawazo kama familia moja .

Mh. Pinda amesema kuwa watumishi ndio chachu ya maendeleo katika jimbo kwani huchochea katika kukuza mapato ya Halmashauri kutokana na utendaji mzuri wakazi.

Mh. Pia amewataka watumishi hao kuazisha Saccos kwa ajili ya kuchangia Fedha ya pamoja na kuweza kukopeshana ilikujiinuilia kipato na kuanzisha shuguli mbalimbali za pamoja kupitia fedha walizonazo hivyo kuweza kuteua uongozi utakao simamia Saccos hiyo .

Aidha mesema kila mtumishi katika eneo lake anapaswa kufanya vikao vya wananchi pia kuhakikisha kila mtumishi anafahamu stahikizake ili kuweza kuiepukana na changamo wakati anapo staff, niwajibu wa Afisa utumishi kuweza kukutana na kutoa Elimu kwa watumishi ilikujua mtumishi anapaswa awe na vitu gani vitavyo msaidia kipindi atakapo staff.

Sanjali na hayo Naibu Waziri amewaambia watumishi kuangalia mahali patakapo tengenezwa uwanja kwa ajili ya kuinua vipaji vya Watoto kwani michezo ni Afya pia ni ajiira.


Wakizungumza baadhi ya watumishi wajimbo hilo wamesma pamoja na kwamba ni watumishi wa serikali lakini bado ni wakulima kutokan na hali hiyo mbengu zikojuu sana ukilinganisha na beiza mazao zilizopo hali inyo katisha tamaa.

Pia wamesema kuwa watumishi wangazi za chini kuonekana kama hawafai wakati wanapo kuwa wametekeleza majikumu ya uongozi .

Watumishi hao wamesema kumekuwa na tabia ambayo siyo nzuri pale ambapo  mtumishi amejenga nyumba au kununua  chombo cha usafiri jamii kuona kama mtu huyo kaiibia Serikali sasa wamitumishi  hawa watafanya vipi maendeleo yao  binafsi  kama hawatakuwa na mali zao binafsi.

Aidha wamesema kuwa katika Shule kuna mabomba ya Maji ambapo Mabomba hayo hudaiwa kulipiwa kwa kiwango cha Maji yanayokuwa yametumika hali inayo kuwa ngumu kutokana na kiwango kikubwa kinacho kuwa  kinadaiwa pia kutukuwepo kabisa kwa huduma ya Maji kwa baadhi  Shule hali inayo pelekea Watoto kutembea umbali mrefu kutafa Maji .

Akijibu maswali Geofrey pinda amesema  changamoto za maji  na barabara ni maswala ambayo yako katika utekelezaji kwani mpaka sasa kuna matengenezo yanaendele .

Pia amesema ziwa Rukwa niziwa pekee lenye madini Helium amboyo hayapatikani kwingine Duniani kote Zaidi ya Tanzania na Marekani hivyo barabara lazima ziboreshwe ilikuwezakupitika kutokana  na uchimbaji utakaokuwepo.

Hata hivyo amezitaka Serikali za Vijiji kutazama namna ambayo  itafanya ilikuweza kulekebisha malipo ya Maji mashuleni ilikuweza kuepukana na changamoto za ulipaji.

Matangazo

  • BOFYA HAPA KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA December 20, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KUJITOLEA February 15, 2024
  • Tangazo la Nafasi za Kazi September 17, 2019
  • Tangazo la nafasi za Kazi za Muda April 21, 2020
  • Angalia yote

Habari Mpya

  • MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA MPIMBWE

    April 05, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI WA H/W YA MPIMBWE AZINDUA MAFUNZO YA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    February 12, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LA MPIMBWE LAWEKA MIKAKATI YA KUBORESHA LISHE NA MIRADI YA MAENDELEO

    February 11, 2025
  • Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura

    October 11, 2024
  • Angalia yote

Video

Vivutio Vya Watali katika Hifadhi ya Taifa Katavi
Video Zaidi

Kiungo cha Haraka

  • Chuo kikiku cha kilimo Sua cha tembelea Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe kwa ajili ya uanzishaji wa chuo cha kilimo Ndani ya Mkoa wa Katavi
  • Mpimbwe A Conservation and Development Project
  • Revenue collection dashboard for Katavi Region
  • Mkoa wa katavi

Kurasa za Karibu

  • NECTA
  • UTUMISHI
  • WIZARA YA ELIMU, SAYANSI, TEKNOLOJIA NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • OR-TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya

    Sanduku la Posta: 245

    Telephone: 0625732265

    Mobile: 0625732265

    Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa