Viongozi mbalimbali walitoa salamu zao kwa wananchi kama wanavyoonekana katika picha hapo juu, akiwemo Mh.Geofrey Mizengo Pinda (MB) Naibu waziri wa katiba na sheria, Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mh.Philibato Hassan Sanga, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Mh.Silas Ilumba na katibu Tawala wa wlaya ya Mlele, Pamoja na salamu hizo waliwasisitiza wananchi kushiriki zoezi la Sensa kwani ni Muhimu kwa maendeleo ya Taifa letu.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa