Bi Catherine mashalla amekabizi pikipiki 6 kwa watendaji wa kata ambazo zimetolewa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Dkt Samia Suluh Hassan ili kuhakikisha kuwa watendaji wa kata wanapata vyombo vya usafiri ambavyo vitawasaidia kulahisisha shughuri za kiutendaji kwa wakati.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe Bi Catherine Mashalla Tarehe 01 .03. 2023. Mbele ya jengo la Halmashauri ambapo amesisitiza pikipiki hizo Kuwahudumia wananchi badala ya kufanyia shughuli zao binafsi.
Pia amesema pikipiki hizo zikawe chachu ya kufanya kazi kwa bidii na kusaidia katika ukusanyaji wa mapato ya Serikali.
Imetolewa na
kitengo cha mawasiliano Serikalini
Halmashauri ya mpimbwe.
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa