Kaimu Mhandisi Wilaya Eng. Jefta Julius amefurahishwa na kasi ya ujenzi wa Madarasa , matundu ya choo na hostel katika shule zote zilizopokea fedha za P4R na kuwakumbusha walimu wakuu na waratibu elimu kata kufanya ufuatiliaji wa karibu katika miradi hiyo, aidha Kaimu Mhandisi ametoa maelekezo kwa local fundi wanaoendelea na ujenzi wa miradi hiyo ifikapo tarehe 30-09-2020, Ujenzi uwe umekamilika na tayari kutumika kwa wanafunzi kama ilivyokusudiwa na serikali
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa