Viongozi wa Dini na Taasisi mbalimbali wakifuatilia kwa umakini maelekezo ya uchaguzi wa serikali za mitaa kutoka kwa Msimamizi Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe Bw. Jabir Makombe katika kuhakikisha wanaelimisha Wananchi kufuata kanuni za uchaguzi , kujiandikisha na kushiriki kupiga kura katika vituo watakavyokuwa wamejiandikisha na kutumika kupiga kura tarehe 24/11/2019
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa