Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe anawatangazia wananchi wote kwamba, Halmashauri inauza viwanja kwa matumizi ya makazi, biashara, shule ya awali, hoteli na Petrol station.
Kwa maelezo zaidi pakua TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA MPIMBWE.pdf
Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe- Usevya
Sanduku la Posta: 245
Telephone: 0625732265
Mobile: 0625732265
Barua Pepe: ded@mpimbwedc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Mpimbwe. Haki zote zimehifadhiwa